Mwanafunzi mpya

  •  
  • 37
  • 0
  • 0
  • Swahili 
Mar 11, 2019 18:34
Sasa mimi ni mwanafunzi na ninaishi Uingereza katika mji mkubwa. Jina wa mji ni Manchester. Nitaenda kwa Congo msimu huu. Nasema Kifaransa na naanza kusoma kiswahili. Nahitaji kufanya mazoezi kila siku. Asante sana!